Habar wana jf sorry Nina changamoto kwenye Instagram account yangu, yani mtu akinitumia message private ,I mean direct messege (DM) kila nikiifungua naambiwa mtandao uko chini hali ya kua mtandao uko vizurii sana kila Siku ivo ivo yan so naomba kama kuna mtu anajua namna gan naweza ku-solve hii shida anielekeze kama inawezekana [emoji848] [colour=blue]ahsanten!!