Insta hacker

Insta hacker

Unatumia jina gani Insta ili nikupe maujanja ya kuhack?
Da bora mkuu umejitokeza nitashukuru ukinipa maujuzi natumia jina LA zacknum_020 utaona picha nimevaa shati linafanana na kitambaa nilichofunga kichwani
 
ahahahahah dogo hapa umesha dukuliwa jina kwa njia rahisi kabisa isiyo hitaji software na kutupia codes

kuwa makini utatoa hadi passwords zako

turudi kwenye mada una sh ngap tukusaidie hiyo shughuli? kwako wewe naamini huwezi kujilinda ikiwa tu umeshindwa kutegua mtego wa username yako huko IG
 
Nilitaka kujua tu mkuu
 
Naona mna hangaika dogo leta hela nkupe account .
mishe za ku hack watu tuna geuka double agent ana ku hackia unampa hela.afu badae ana irudisha ana pewa hela mna baki kushangaa tu
 
Yaani mkuu ulichoongea Upo sahihi kabisa
 
Napenda kujua tu haka kaujanja
Kwanza nikutakie siku njema ya kuzaliwa

Pili usipende kila mtu akujue mdogo angu...kua makini na mitandao

Tatu nenda kasome IT utapata jibu
 
Sawa mkuu na asante kwa kunitakia siku njema
 
ﺍﻟﻌﺮﺑﻴﺔ • Atikamekw • azərbaycanca • ﺗﯚﺭﮐﺠﻪ • башҡортса • беларуская • български • ﺭﻭﭺ ﮐﭙﺘﯿﻦ ﺑﻠﻮﭼﯽ • বাংলা • bosanski • català • нохчийн • ﮐﻮﺭﺩﯼ • čeština • Cymraeg • dansk • Deutsch • Deutsch (Sie-Form) • Zazaki • Ελληνικά • emiliàn e rumagnòl

Chukua hzo code hapo juu na uziingize dogo acha ushamba
 
Back
Top Bottom