Inspirational story - Mercy kitomari, Total enterprenuer of the year- Nelwa gerato founder

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau..

ni vizuri tukashare pamoja story za vijana wa kitanzania wanaofanya makubwa katika kupambana na maisha..

leo namleta Mshindi wa shindano la total milioni 20 kwa mjasiriamali kijana mwenye mwamko na biashara.

kabla hajashiriki total Mercy kitomari 33 yrs of age alikuwa mfanyakazi wa exim bank baada ya kumaliza digrii yake kwa miaka kazaa.

ambapo aliamua kuacha kazi exim kama corporate sales officer na kwenda kuanzisha biashara yake ya local made ice cream nelwa gerato kwa mtaji wa milion 5.

na biashara yake imeenda kwa mafanikio makubwa na kufikia mtaji wa milion 40...

na mwaka huu ameshinda shindano la total africa na kuongozewa hela ya kukuza biashara yake milion 20.

Ice cream business delights Dar es Salaam - CNN Video

ni vizuri tukajifunza kitu kutoka kwake...

wengi sana tuna ndoto kichwani lakini ukifikiria kuacha kazi na kujiajiri tunasita hata kama tumeshapata mitaji
 
Mkuu mm nahitaji kulima kilimo cha mboga mboga naweza kuanza na shingap mtaji mkuu
 
Back
Top Bottom