waongezee kuwa na ruangwa wameonesha cheche na huu ni mwendelezo hakuna kudanganywa na mtu yeyote kuhusu hili na tusikubali gesi na barabara kiwe ni kigezo cha mtu kuingia madarakani hizo zimeshapitwa na wakati big up ma ppo of south...

unajua kinachomsumbua lowasa ni kuwa jamaa kwa sasa anaona muda unazidi kwenda na matarajio yake yanazidi kufifia ndio maana unaona ameamua kila mtu afe kivyake ili ifikapo mwaka 2015 ajue mbivu ni zipi na mbichi ni zipi hahahaha