Hapo huwezi kujua, Taliban inaweza kupenyeza wafuasi wao pia kuingia Marekani kwa njia hiyo. Sina uhakika sana lakini huwezi kuwaamini wote eti wanakimbia vita.
Na siyo kwamba wananchi wa Afghanistan wanaichukia Taliban, naamini wengi wanaichukia Marekani kuliko Taliban ila fursa ikijitokeza kama hivyo ambapo hakuna muda wa background check, mabaharia wanaitumia vizuri sana.
Kama rais wao kakimbia wao ni wakina nani wabaki.
We umeishi nao huko kwao unajua madhira yanayowapata mpaka uhoji kwanini wanakimbia?
Kinachofuata wanakijjua wenyewe ndo maana wanakimbia
Hapo wanakimbia mfumo wa sheria za kidini na madhara yake wanayajua. Lakini hapa bongo kuna mijitu mweusi kama lami inataka mfumo huo wa dini ililetwa na hao wanaozikimbia hizo sheria za kizamani zilizopitwa na wakati