Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,134
Ibra ameanza kuimba taarabu toka wiki ianze anasikika kwenye social media kuwa anadaiwa,ila kiuhalisia hawa jamaa naona wanataka kupiga pesa za watanzania kwa lengo la kukidhi mahitaji yao.
Kwani siyo huyu Ibra aliyokuwa anagawa fedha?Bossi wake juzi ametoka kuhonga Defender,sasa naona wameishiwa wanahitaji sympath.
Kwani siyo huyu Ibra aliyokuwa anagawa fedha?Bossi wake juzi ametoka kuhonga Defender,sasa naona wameishiwa wanahitaji sympath.