QasraNet
Member
- Jan 3, 2018
- 38
- 50
Habari wakuu,
Ninawazo hapa mahususi kwa sisi wa developing countries.
Wazo hili halitokani na Zuku Fiber + TV
Device ambayo itakuwa inaweza kupokea signal za internet+tv through Fiber (SFP Slot) or internet only through WAN Port (RJ45) kisha itaweza kutoa LAN through RJ45 pamoja na kutoa 1080p, 4k to 6k Video Signal through HDMI au Analog Output (RCA Jack - Zile zilikuwaga na rangi ya njano for video, and stereo audio through Red na White), device iwe na Stereo out through 3.5 mm jack pia itakuwa inaBroadcast WiFi.
Operation system inaweza kuwa Android au Linux Based Kernel OS yoyote ambayo itakuwa lightweight kumanage hizi functionallities zote kwa ukamilifu wake. User awe na access ya kuManage device yake through App au web portal.
So mteja atakuwa na device yake ambayo ipo connected kwenye fiber anapata internet na tv signal kwa pamoja. Device itakuwa registered kwa subscription id yake yeye mteja. Atapata network (LAN) through Wifi au RJ45. Pia ataweza kutazama TV Channels kupitia HDMI au analog video. Pia kupitia function ya tv ataweza kutazama youtube, netflix au kuBrowse the internet. Na kama labda imetokea kaishiwa kifurushi, kwamba hawezi tena kupata internet basi ataendelea kupata TV channels chache za local. Na mfano tuseme mtu akaridhika tuu na channel za local kwa muda huo basi aweze pia kutumia port ya WAN kuingiza internet kutoka kwenye router ya nje na aendelee kutumia youtube, netflix na kuBrowse internet.
Ni biashara complex ila nadhani inabidi liwe adopted. Nimejitahidi kuelezea kwa kadiri kichwa kilivyoweza. Nikaweka na picha hapo from Gemini AI baada ya kuipa wazo. Pia naendelea kuzurura online kutazama kama kifaa kama hiki kinaExists au lah ila kwa research ndogo nimeona hakipo.
My head made these device options:
Nexus Hub Home Vijana Lite - 1 SFP, 1 WAN, 1 LAN, 1 HDMI, USB
Nexus Hub Home Lite - 1 SFP, 1 WAN, 2 LAN, 1 HDMI, Analog Video Out, USB
Nexus Hub Home Pro - 1 SFP, 1 WAN, 3 LAN, 1 HDMI, Analog Video Out, USB
Nexus Hub Home Plus - 1 SFP, 1 WAN, 5 LAN, 1 HDMI, Analog Video Out, USB
Sorry kwa kuchanganya lugha na kuongea technical side zaidi ila ilibidi nilifikishe hili wazo hapa.