Elections 2010 Injinia ndibalema:wa chadema azindua bkb vijijini

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Wakuu baada ya chadema kuzindua jana mjini, wanazindua leo vijijini.tayari tupo bugabo na watu wamejaa na tayari viongozi wanazungumza.mwenyekiti wa chadema mkoa na mgombea ubunge bkb mjini lwakatare namuona.
 
Tuletee haabari na picha! mkuuu isije ikawa mkutano wa watukumi tu.
 
Ninaripoti ninachokiona.sipigi kampeni wala propaganda.natumia simu siwezi kuleta picha
 
Wakuu baada ya chadema kuzindua jana mjini, wanazindua leo vijijini.tayari tupo bugabo na watu wamejaa na tayari viongozi wanazungumza.mwenyekiti wa chadema mkoa na mgombea ubunge bkb mjini lwakatare namuona.

Vipi mkuu kuhusu Karagwe, mbona sisikii kama kuna Chadema?
 
Karagwe waliyemuamini na kumpa mikoba ya Chadema anayejulikana kwa jina la Deusdedith Kahangwa inaelekea aliwauzia Chadema mbuzi ndani ya gunia. Its a sad story to give.
 
Lakini nasikia pia CHADEMA wamekata rufaa mkuu kweye hili
 
Mmmmmhhhhh ndio lakini sijui kama watafanikiwa.

Sina ushahidi lakini yaweza kuwa yale yale ya Musoma kwa stahili nyingine ya aina yake. Mwisho wa siku ukweli utajulikana.
 
Deusdedit jovin karagwe kawekewa pingamizi,ila kuna rufaa.lilikuwa potential sana.blanes anachukiwa mno.
 
Back
Top Bottom