Injini ya Toyota Hilux Ina weza kuwa mbadala wa Mitsubishi?

Mkuu ulifanikiwa kubadili engine? Kama ulifanikiwa uliweka engine gani ya Toyota? Nina kesi kama yako Mitsubishi L200.
 
Back
Top Bottom