injini ya pikipiki bajaj platina cc 125

injini ya pikipiki bajaj platina cc 125

deazizle

Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
5
Reaction score
0
wadau kwa mwenye injini ya bajaj platina cc 125 au hata mwenye kufaham duka zinapouzwa naomba anisaidie kunielekeza nina shida na hiyo kitu kwa kununua.
 
Mimi ni fundi mwenye ujuzi wa muda mrefu katika fani ya magari yenye kutumia
mfumo wa electronic yani-(automotive electronic)
a-bmw aina zote
b-audi aina zote
c-mercedes benz aina zote
d-range rover aina zote
f-jaguar aina zote
mobile-0759-988-988 kwa aina yoyote ya matengenezo na computer diagnosis
call me any time mon-sat-10hr every-day
also you can get technical advice call same mobile-number
thanks h.rashid
 
haji rashid mbona hujamsaidia jamaa yeye anaulizia injini ya 125cc ya pikipiki sio gari deazizle unaishi Mji gani maana siku hizi spea za pikipiki ni nyingi sana na huenda Dizaini za miundo hii ya 125cc ikafanana kwani mwanzilishi wa injini hizi alikuwa ni Honda ya Japan na Mchina India na Brazil wakaiga ndio katika muendelezo wao Piston na camshaft zimewekwa kwa juu zikifunguia Valve INlet na OUTlet (Taztizo litakuwa katika Stand ya kuibeba)
Ushauri zunguka Mitaa ya Dar utazipata kabla ya kuelekea Shule ya Uhuru na Ilala kwenye second hand
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwa said mtaa wa agrey kunaduka la vifaha vya bajaji kaka
 
Ok nashukuru wadau @ ukwaju na poxino,nipo mkoa wa mtwara next week natarajia kwenda dar nitapita kujaribu mlikonielekeza.
 
asante muhitaji wa spea za piki piki lakini mimi fani yangu nimeiweka wazi,
ni magari yenye kutumia mfumo wa Electronic yani Automotive Electronic
kuhusu piki piki nasikitika sishugulikie
Asante Wako,
HAJI RASHID AMANI
 

Attachments

  • 8e9c383d.jpg
    8e9c383d.jpg
    35.4 KB · Views: 224
  • comA1.gif
    comA1.gif
    60.6 KB · Views: 341
  • $(KGrHqJ,!pIE8VYBKwlPBPHgrW()C!~~60_12.jpg
    $(KGrHqJ,!pIE8VYBKwlPBPHgrW()C!~~60_12.jpg
    13.4 KB · Views: 133
Back
Top Bottom