barabara ya morogoro ukivuka bibi titi huko unapoishia kuna wadosi wenye vi injini vingi si rahisi kukosa, kama zimeisha ukishuka posta mpya asubuhi ukiwaona kina mama wengi wanauza vitafunwa jengo la nyuma yao hapo zipo, ila shida bei!
bei ikisumbua nunua korola mkweche injini yake inasukuma meli ndogo ila kama ni boti ndogo hata ya sanlg inatosha.