Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Habari zenu wapendwa:
Toa maoni ama changia mada kuhusiana na hili:
Mi ni Sistar zangu wa damu wa 3 tunashare Mama mmoja Baba tofauti, Mashallah wanajiweza baba yao amefariki akiwa safi, amewachia mali,majumba na pesa zakutosha bank si wa leo ama kesho kufirisika, kwa bahati mzuri ama mbaya mi ndio chokaa teeee...Kawaida mashimo yao ya pesa zao za kodi na Majumba wanayouza yakitema huwa hawana habari na mimi wala hawajui kama wanabro choka mbayaa...
Zaidi ya mimi kujikomba\kujipendekeza nakuwaomba ktk Million 40 ya kila mmoja walizopata angalau nami wanifikirie kwa kunitoa japo kidogo kama Kaka yao,
Huzi amini nakaziwa nakuambiwa pesa zao zipo kwny bajeti kwani wanafamilia nikizidi kuwaomba zaidi nambulia elfu 50 kwa kuchangiwa na Watu 3 ktk million 120 walizonazo!!!
Swali linakuja ikitoe siku ww Mungu amekujalia umepata pesa jst kama million 10 tu Wakajua nakufuata kukuomba uwasaidie ilihali wanajua ww ni Kaka yao wa damu na una million 10 utawapa tsh ngapi?? Nakama unavyojua wanapenda pesa kushinda maelezo???
Naombeni majibu ya mitazamo yenu wadau.