Hayo maneno kwenye red tu yanatosha kumpeleka huyo mama akasalimie kwao!, bila hata kumalizia hayo ya "linguruwe!Siku 1 Mr & Mrswalikuwa sebuleni, Mr akataka "kumsuprise" Mrs wake, akaenda chumbani na kuweka line mpya kwenye cm yake, then akampigia Mrs wake aliyemwacha sebuleni.............! HELLOW DARLING....! bila kujua ni Mr wake..wife akajibu KATA UPIGE BAADAE...hili LINGURUWE lipo ndani............... unahisi nini kilifuatia??????
Siku 1 Mr & Mrswalikuwa sebuleni, Mr akataka "kumsuprise" Mrs wake, akaenda chumbani na kuweka line mpya kwenye cm yake, then akampigia Mrs wake aliyemwacha sebuleni.............! HELLOW DARLING....! bila kujua ni Mr wake..wife akajibu KATA UPIGE BAADAE...hili LINGURUWE lipo ndani............... unahisi nini kilifuatia??????