Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Mwanaume kusamehe kusalitiwa inawezekana kabisa katika "scenario" mbili tu
1. Mwanamke atabaki kuwa mtumwa siku zote. Jamaa ana sababu tosha ya kumwendesha huyo binti atakavyo kuanzia sasa. Hakuna mapenzi hapo tena, bali woga na hatia moyoni
2. Kama umeshawekeza vya kutosha kwa binti, kwa nini uache binti wakati umeshafanya uwekezaji wa hali ya juu, focus sio mwanamke bali ni uwekezaji wako.

Note: Watu wapo tofauti, inawezekana jamaa amesamehe kwa moyo mweupe.
Ila kumbuka katika hii dunia " Everything is about sex ; except sex because sex is about power" .....
 
Waliishia wapi hawa?
 
Mwambie huyo mpenzi wako wa kike asije akawaamepaniwa kufanyiwa madhara na huyo jamaa yake.

Ajopime na apime anachokiishi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…