Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Yaani jamaa anahofia mbongo fleva mwingine kulala na mkewe? Si kila mshamba anapenda vitu vya computer visivyo na uhalisia....mambo yote ni muziki wa dansi tu na mwanamke achezeshwe Twanga kitandani mpaka ajue kweli yeye ni mwanamke.

Hapo jamaa anamaanisha mrithi wa mkewe baada ya yeye kufariki yupo tayari kwa maneno mengine mkewe anachepuka!
 
Hahaa kajifunga vizuri kweli huyo mwanamke.. mtego kidogo tu akajinasa
 
Hapo jamaa anamaanisha mrithi wa mkewe baada ya yeye kufariki yupo tayari kwa maneno mengine mkewe anachepuka!

Mbona nilishaelewa? Mkewe anachepuka na kijana (kinda mpenzi wa fleva), kwani mtu mwenye akili timamu hawezi kupenda fleva bali ni Twanga tu na kwenda mbele.
 
maswali ya mwanzo angalau aliyajibu bila kugundulika ila swali la mwisho limemuumbua
 
Kazidi kuuliza, alichokua anakitaka keshapata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…