ingekuwa wewe ungefanyaje

ingekuwa wewe ungefanyaje

hapo wala hamna presha kuwa nao wote wawili unawagegeda tuu...mwisho wa siku huyo wa sasa atagundua ndio inakuwa bye bye. mwambie huyo ex atume txt za mapenzi tuu alafu gf atazionana ataona bora asepe
 
hapa sasa kuna kimbembe ila unajua nini? Maisha mafupi mno ndugu yangu halafu wewe ni wakiume embu jarbu kufanya maamuzi yakujenga na sio kubomoa...tena kemea shetani nasema hv mwanamke ulienae sasa ndo wako ule wa janana sio....ACHA TAMAAAAAAAAAAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom