ingekuwa wewe ungefanyaje

ingekuwa wewe ungefanyaje

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
inshort ni hivi nilikutana nae tukiwa first year tukaanzisha uhusiano kwa kipindi chote cha shule sasa wakati tunamaliza chuo mwanaume nikaona uhusiano wetu utakuwa kwenye situation nisiyoipenda nayo ni 'mapenzi ya mbali'(regarded na kozi niliyosoma) kutokana na hilo mwanaume nikaanza kujivua taratibu kutoka kwake ili asipate shida wakati ukifika wa kuachana na mimi. nikawa namfanyia mambo yasiyofaa basi kweli mpaka tukaachana na kama nilivyotegemea miezi michache baadae akapata kazi mkoa wa mbali sana najiji nikasjiemea moyoni uanoana sasa tungeishi vip huko mbali kote. maisha yakaendelea tukawa marafiki tu wa kuongea na simu mimi nikapata mwingine nae akaniambia anamwingine na anamtoto na anatarajia kuolewa soon mi sikuwa na hiyana nikampa baraka zangu zote . (kumbe alikuwa ananidanganya) juzi ananipigia simu ananiambia kuwa miezi sita iliyopita alipata uhamisho na kurudi dar ila aliwaambia rafiki zake kuwa wasiniambie kama yupo kwani yeye kweli alikuwa na mshikaji wakazinguana kitambo,hivo anataka turudiana kama zamani kwani hata yeye alikuwa anajua tu kuwa tumeachana koz of distance na sasa si tatizo tena kwani anajua nampenda nae ananipenda na hilo ni kweli sasa tatizo mi nina msichana mwingine ambaye sio siri labda mi nimzingue lakini sioni kosa kwake kabisa na hata nikisema kuwalinganisha kati yao nani niendelee nae kati yao naona huyu wa sasa ndo ana deserve japo moyon naona kama yule wa zaman pia hastahili kutokuwa na mimi kwani tulitoka mbali sana alinisave na nilimsave vitu vingi sana alikuwepo kwenye situation ngumu zaidi ya kufikiria na pia naona kabisa hata nikisema nisiwe na huyu wa zaman posibility ya ku cheat ni kubwa kwani hamna sehem tunayomatch na huyu wa zaman kama kwenye bed,i used to tell her endapo tutaachana atapata shida sana kwenye maswala mazima ya sex na hata mimi mweneyew sometime nammiss ila ujeur tu je nifanyeje niendelee kuwa na huyu wa sasa huku nikijua kuna siku nitacheat (kucheat ni kitu nisichokuwa tayari na kutokukipenda) au nimrudie yule wa zamani niachane na huyu wa sasa japo ataumia sana kwan ana expectations nyingi sana kwangu
 
Unaogopa kucheat umeoa??? Anyway, fuata moyo wako nini unataka!
Halafu jifunze kuweka story yako katika mpangilio unaoeleweka!
 
Kama inawezekana waoe wote maana unapata wakati mgumu wa yupi ambaye unastahili kuwa naye.

La la la la
La la la la
La la la la

[VERSE 1]
I want you to love me, like I'm a hot ride
Be thinkin' of me, doin' what you like
So boy forget about the world cause it's gon' be me and you tonight
I'm gonna make your bed for ya, then imma make you swallow your pride
oooohhh

[CHORUS]
Want you to make me feel like I'm the only girl in the world
Like I'm the only one that you'll ever love
Like I'm the only one who knows your heart
Only girl in the world...
Like I'm the only one that's in command
Cause I'm the only one who understands how to make you feel like a man, yeah
Want you to make me feel like I'm the only girl in the world
Like I'm the only one that you'll ever love
Like I'm the only one who knows your heart
Only one...

[VERSE 2]
Want you to take it like a thief in the night
Hold me like a pillow, make me feel right
Baby I'll tell you all my secrets that I'm keepin', you can come inside
And when you enter, you ain't leavin', be my prisoner for the night, oh

Last edited by a moderator:
Duh kazi kweli kweli,ebu tulia mambo yatajiweka sawa yenyewe ila kama uko serious unataka kuoa pga goti chini umuombe Mungu akuoneshe yupi ni sahh kwako
 
Kucha uliyonayo sasa ndio ya kwako, ile uliyoikata jana si yako tena na wala haiwezi rudi ilipokuwa...
 
jamaa tamaa znakuzngua chagua moja mybe nijusidie wanawake hawaish unaoba magar yalivyo dar kila aina ndivyo wanawake waluvyo mtaan kula mkoa utakaoenda utaktana now!!! chagua moja tulia mambo niyale yale
 
wote huwapendi!
Kama vip achana nao!
...
Inaskitisha kuona mtu na akili zake hajui alifanyalo vile vile hajui alitakalo!
 
mi sioni hata cha kuumiza akili hapo, wa zamani unamtaka si kwasababu unampenda bali kwasababu 1. unamhurumia 2.unataka kukumbushia. Ingalikuwa unampenda alivyoenda mbali usingemsukuma, ungemkumbatia na ndio ungekuwa nae hadi leo.
 
Kusema ukweli huyo wa kwanza ujampenda bana,...., unasingizia umbali tu,..... unayempenda uwezi kufanya vituko ili muachane, ulikuwa unasogezea nae semester kipindi upo chuo. Ninakusisi usimkaribie tena utamualibia maisha. coz upendo wa kweli huna kwa uyo uliyemuita wa mbali. Na tamaa mbaya, mwanamme wa kweli akiachana na ke amrudii..., unajua aliumiaje wakati unaachana nae?, na unajua anarudi kwako kivipi?,....., usicheze na wanawake wana visasi visivyoisha atakuja kukumaliza ujute kuzaliwa. UNAJUA KISASI wewe....................................
 
Unataka tukushauri umfanyie vitimbi na huyu wa sasa ili umrudie x wako!!!!!!!??????
 
acha ubongo wako upumzike kwa kuwachukua wote unaumiza akili kwa nini??????
 
sijakuelewa na sitaki kukuelewa kwahiyo usinieleweshe
 
Rafiki ukweli utabakia palepale kuwa ipo siku kati ya hao wawili mmoja atatemwa na mwingine atabaki, ila nakuomba chagua mwanamke ambaye atakufanya uishi maisha ya furaha na amani ndani na nje ya nyumbani kwako.

Usitawaliwe na tamaa maana mwanamke asipo kuwa mke wakufaa hata kitandani hutotamani kulala naye haijalishi atakuwa na maujuzi gani, maisha ya ndoa ni upendo na upendo ni zaidi ya ngono, japo tendo la ndoa kwa umpendaye ni kama mbolea katika mmea.

Usifanye favor katika kuchagua bali utendee haki moyo wako, usiwarubuni watoto wa watu kama unataka kumuoa mwambie ukweli na kama ni mapenzi sema, kuwa na msururu wa wanawake kabla ya ndoa ni tatizo kubwa sana ukiingia kwenye ndoa, kuwa makini kijana.
 
nipe mmoja mimi from there the situation is SOLVED
 
Kwani ku cheat si unamuwa, na pia ukiamua kuto cheat inawezekana, na kama ndio nia yako ku cheat daima utakuwa hivyo
 
Baki na wa sasa,uyo wa zamani unajua amepita wapi uko alikotoka?? Na ana nia gani na ww kwa sasa??mwambie was over tena usimchekee kabisa
 
inshort ni hivi nilikutana nae tukiwa first year tukaanzisha uhusiano kwa kipindi chote cha shule sasa wakati tunamaliza chuo mwanaume nikaona uhusiano wetu utakuwa kwenye situation nisiyoipenda nayo ni 'mapenzi ya mbali'(regarded na kozi niliyosoma) kutokana na hilo mwanaume nikaanza kujivua taratibu kutoka kwake ili asipate shida wakati ukifika wa kuachana na mimi. nikawa namfanyia mambo yasiyofaa basi kweli mpaka tukaachana na kama nilivyotegemea miezi michache baadae akapata kazi mkoa wa mbali sana najiji nikasjiemea moyoni uanoana sasa tungeishi vip huko mbali kote. maisha yakaendelea tukawa marafiki tu wa kuongea na simu mimi nikapata mwingine nae akaniambia anamwingine na anamtoto na anatarajia kuolewa soon mi sikuwa na hiyana nikampa baraka zangu zote . (kumbe alikuwa ananidanganya) juzi ananipigia simu ananiambia kuwa miezi sita iliyopita alipata uhamisho na kurudi dar ila aliwaambia rafiki zake kuwa wasiniambie kama yupo kwani yeye kweli alikuwa na mshikaji wakazinguana kitambo,hivo anataka turudiana kama zamani kwani hata yeye alikuwa anajua tu kuwa tumeachana koz of distance na sasa si tatizo tena kwani anajua nampenda nae ananipenda na hilo ni kweli sasa tatizo mi nina msichana mwingine ambaye sio siri labda mi nimzingue lakini sioni kosa kwake kabisa na hata nikisema kuwalinganisha kati yao nani niendelee nae kati yao naona huyu wa sasa ndo ana deserve japo moyon naona kama yule wa zaman pia hastahili kutokuwa na mimi kwani tulitoka mbali sana alinisave na nilimsave vitu vingi sana alikuwepo kwenye situation ngumu zaidi ya kufikiria na pia naona kabisa hata nikisema nisiwe na huyu wa zaman posibility ya ku cheat ni kubwa kwani hamna sehem tunayomatch na huyu wa zaman kama kwenye bed,i used to tell her endapo tutaachana atapata shida sana kwenye maswala mazima ya sex na hata mimi mweneyew sometime nammiss ila ujeur tu je nifanyeje niendelee kuwa na huyu wa sasa huku nikijua kuna siku nitacheat (kucheat ni kitu nisichokuwa tayari na kutokukipenda) au nimrudie yule wa zamani niachane na huyu wa sasa japo ataumia sana kwan ana expectations nyingi sana kwangu

Huwa nakaraishwa na mtu asiyekuwa na msimamo na ambaye hajui anataka nini kwenye mahusiano kama wewe.
Anyway, whatever goes around comes around. Ila kaa ukijua kila jambo ulifanyalo lazima ulipe direct or indirect.
 
sasa huyo wa kwanza kesha pigwa nao sana uko mkoani halaf unataka kumrudia, da! hapo ndipo naamini watu tumetofautiana, kuna watu mnapenda sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom