Smart Finance
Member
- Apr 10, 2025
- 35
- 112
Mfano umetuma kimakosa shilingi 500,000 kwenye akaunti isiyo sahihi, ukampigia simu uliyemtumia Ili akurejeshee mpokeaji simu akasema atakata 100,000 na akurudishie 400,000
Kwa huzuni kubwa ukakubaliana naye atume hiyo hiyo maana huna namna nyengine. Una shida zako unahitaji kufanya muamala huo haraka iwezekanavyo.
Lakini kwa bahati mbaya na yeye akakosea na kukutumia 4,000,000 badala ya 400,000 kama alivyosema.
UTAFANYAJE?