mtanzania flani
Member
- Sep 1, 2013
- 99
- 19
1.'DIVA' LOVENESS LOVE wa Cloudz
Fm ningeshamtoa kwenye hicho
kipindi.
I would Replace her with yule wa TBC
Fm same program
2.EBSS ningeirudsha ITV
Sitaki ya SEREBUKA na MAISHA Plus
yajirudie
3.Ebony Fm ya Iringa ningeileta mjini
Daslaam,Coz jamaa wanajitahdi katka
ushindani wa local radio stations.
4. Sahara Media Group wanastahili
kufanya re-structuring.
Wamechoka,hawaendani na wakati
mpaka watangazaji wanahama kwa
kasi ya ajabu with a bulk of
complaints.
5.EA Radio inafaa kupewa tuzo kama
radio bora ya ambayo inagusa pande
zote ambazo an average person
anastahili.
Hawana msuguano na mtu/media
yoyote.
Ni mtazamo tu....
Fm ningeshamtoa kwenye hicho
kipindi.
I would Replace her with yule wa TBC
Fm same program
2.EBSS ningeirudsha ITV
Sitaki ya SEREBUKA na MAISHA Plus
yajirudie
3.Ebony Fm ya Iringa ningeileta mjini
Daslaam,Coz jamaa wanajitahdi katka
ushindani wa local radio stations.
4. Sahara Media Group wanastahili
kufanya re-structuring.
Wamechoka,hawaendani na wakati
mpaka watangazaji wanahama kwa
kasi ya ajabu with a bulk of
complaints.
5.EA Radio inafaa kupewa tuzo kama
radio bora ya ambayo inagusa pande
zote ambazo an average person
anastahili.
Hawana msuguano na mtu/media
yoyote.
Ni mtazamo tu....