GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Ni Kheri Tu CCM Ingeamua Kututawala WATANZANIA Bila Huu UPINZANI Kwani BINAFSI Tokea Ujio Wa Hivi Vyama Vingi Nchini Tanzania Sioni Kama Vina TIJA Zaidi Tu Ya Wengi Kuwaona Kama Ni WACHUMIA Tumbo WALIOTUKUKA. CCM Nani ALIWALAZIMISHENI Kukubali UPINZANI WA KISIASA au VYAMA VINGI Hivi Nchini Tanzania Mwaka 1992? Hivi Hakuna Namna Ya KUFANYA Ili Tu TUVIFUTE Hivi Vyama Vyote Vya UPINZANI Nchini Tanzania Ili TUPUMUE? Pamoja Na Juhudi Zote Tunazofanya Wana CCM Ktk Kuwaletea MAENDELEO Watanzania ( Na Hao WAPINZANI Wakiwemo ) Lakini Bado Kila Kukicha WANATUSEMA Vibaya Na Hawana ASANTE Kwetu.
Wana CCM Mliokuwepo Miaka Hiyo Na MKAKUBALI Ujio Wa UPINZANI Nchini Tanzania MLINIUDHI Mno. Tanzania HATUHITAJI UPINZANI Si Kwa Jana, Leo Na Kesho Na CCM Ingetosha Tu KUITAWALA Nchi Hii Bila Matatizo Kuliko Hizo KERO Za Sasa Kutoka Kwao. Hawa Watu Hawana SHUKURANI Kabisa Na Binafsi Wananiumiza Sana KICHWA!