Ingekuwa mkeo ungefanyaje?

Huu uzi una code? Au mimi ndo sijui kusoma?
 
Form hukufanya vizuri kama .......
 
Ndiyo imeisha au umechoka kuandika?
Mimi bado niko hapa hapa nasubiria part 2, mai wangu.
 
Imagine kama we ndiyo mwalimu na unafundisha mwanafunzi kama huyu. Walimu poleni sana. Mimi nawapenda na kuwaheshimu mno japo jamii inawadharau. Bila nyinyi hatuna taifa.

Dah!! Sijalewa, siumwi na wala sina dozi yoyote lakini nimeshindwa kuelewa kitu. Nimetoka kapa
 
Ninachoomba kusema hapa, nikuishauri serikali kupitia wizara ya elimu,kuwa tuongeze jitihada katika ufundishaji wa uandishi bora ili wahitimu waweze japo kuandika ata Aya mbili zenye kuleta maana.

Maana hii ni hatari sasa kwa afya ya akili.
 
Soma tena ulichoandika
😂😂😂 Kweli nimeamini kama ukiwa haujui ni haujui tu. Sasa watu wote hawa wanaongea lugha moja ya kutoelewa uzi unahusiana na vitu gani.
 
Mimi nimeelewa.. aisee mawe ndio kila kitu..uwe mjeda au boda..mawe ndio maishaa.. okotoba tunatikiti
 
Tulia uandike vizuri ili ueleweke.Au nyege zinakusumbua?
 
Ninachoomba kusema hapa, nikuishauri serikali kupitia wizara ya elimu,kuwa tuongeze jitihada katika ufundishaji wa uandishi bora ili wahitimu waweze japo kuandika ata Aya mbili zenye kuleta maana.

Maana hii ni hatari sasa kwa afya ya akili.
Mimi kichaa poq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…