Kuna mtu alitumiwa msg akanionesha ikisema mtoto wa obama wakati alipotambulishwa kwa mzee pinda kuwa ndio waziri mkuu wa Tanzania alizimia sasa wakati amezinduka yuko kwenye rest room wasira akaja kumpa pole...................
actually huyo mtu alicheka sana ila mie nilipose tuu maana as a joke inachekesha ila as in real life inakera maana huyu nae ni baba wa mtu.