Ingekua ww ungefanyaje hapo

sorry kama na mm nimekukwaza ..............sio kusudio langu kukukwaza ok..............niliapload nikaona imekaa tu fresh ila ilipokua kutokea huku ka maneno ya kichina loh! hata mm nilishangaa na kuishia kucheka tu ................samahani kwa mara ya pili tena
 
Usijali, binafsi sijakwazika hata kidogo..
 
Kushney, no maelezo.
 
Kwa kusema cha ukweli kile ambacho ningefanya, ningekuja kuhadithiwa na mwendesha mashitaka, inspekta wa polisi, nikiwa nimesimama ndani ya kizimba. Otherwise ningekuja hadisiwa na God huko kuzimu...
 
Kushney, no maelezo.

Ukiona bado watu wanaendela kutoa lawama badala ya kuchangia thread ujue maji yamezidi unga.....hawana vifua hao........mimi napita kabatini namalizia nguo nilizobakiza na dox zangua muhimu nabeba huyoooo nasepa
 
Kwa kusema cha ukweli kile ambacho ningefanya, ningekuja kuhadithiwa na mwendesha mashitaka, inspekta wa polisi, nikiwa nimesimama ndani ya kizimba. Otherwise ningekuja hadisiwa na God huko kuzimu...
je kama mgoni ni baunsa c utavunjwa ww sasa hapo ahhaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ukiona bado watu wanaendela kutoa lawama badala ya kuchangia thread ujue maji yamezidi unga.....hawana vifua hao........mimi napita kabatini namalizia nguo nilizobakiza na dox zangua muhimu nabeba huyoooo nasepa
je kama bado unampenda huyo mtuhumiwa wako .............hata hutaki kumuuliza sababu ya yy kufanya ivo wajameni
 
Kupenda huko utumwa........kifupi mtu akikusaliti ni kwamba either humtoshelezi au hatosheki,either kimwili,kihisia au hata kimahitaji

na pia binadamu siku sote hatutosheki, na hatukamiliki...

Hakuridhishi kwa hili, unamsaliti na yule kumbe nae hakutoshelezi kwa jingine...

Sometimes inabidi tujifunze tu kuridhika na kidogo tulicho nacho...
 
nani kakufundisha?

Mwalimu Husninyo.

hujakwazika ..kwa nini hujakwazika ?

Naona umeamua kukwazika kisa mimi sijakwazika Bwana Mtakatifu.

Aminaa hujambo? ujue kuwa mwenzako silali huku kwa sababu yako

Walinde uwapendao na fataki.......... Mi simo!!

Beki to topiki: Mkuu Ivuga kuna mtu kaniambia kuwa Kuna kipindi ulimkuta mmoja wa vimeo (sorry, wapenzi) wako kwenye kifua cha mtu, eti ukachukua Biblia na kuwalazimisha waungame dhambi zao, eti 'Mungu hapendi na hata mimi mmenikwaza' lol...
 
na pia binadamu siku sote hatutosheki, na hatukamiliki...

Hakuridhishi kwa hili, unamsaliti na yule kumbe nae hakutoshelezi kwa jingine...

Sometimes inabidi tujifunze tu kuridhika na kidogo tulicho nacho...
umenena vema
 
Beki to topiki: Mkuu Ivuga kuna mtu kaniambia kuwa Kuna kipindi ulimkuta mmoja wa vimeo (sorry, wapenzi) wako kwenye kifua cha mtu, eti ukachukua Biblia na kuwalazimisha waungame dhambi zao, eti 'Mungu hapendi na hata mimi mmenikwaza' lol...[/QUOTE]
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani naona aliishiwa pumzi mtoto wawatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…