kuna jamaa mmoja alienda katika kijiji fulani. Akatokea kumpenda msichana fulani .Na yule msichana alikuwa wa ukweli, sio zobazoba. Jamaa akasend request yake demu kamkubali.
Jamaa akauliza unaishi na nani hapo nyumbani?.
Demu: naishi na nyanya wangu, lakini kwa sasa hayupo, we utakuja tu ugonge dirisha usiku nitafungua.
Jamaa: poa.
Usiku jamaa katinga na kuingia moja kwa moja, pamoja na demu wake, wakajifunika shuka. Baadaye sauti za watu wakilia zikaanza kusikika.
Demu akamwambia we lala nikafungue mlango. Demu wakati anafungua mlango anakutana na maiti ya nyanya yake. Na waliokuwa wameibeba akaileta mpaka kitandani wakati huo ametulia uvunguni . Na nguo zake kalalia marehemu. Na sebuleni kuna watu wengi.
Je, kama ni wewe ungefanya nini?
Emmanuel Michaelkm