Ingekua wewe ungechukua action gani

Hata wanaume wapo wengi tu sio wanawake pekeyao wapo wengine anakuwa bize na ndugu zake mke akiuliza kulikoni jibu sijaoa ukoo nimekuoa wewe hivyo tabia zipo sehemu zote
 
Hadithi yenye mafunzo.

Hizi hadithi nyingi ila wanawake ndo huwa vimeo.

Wito wa watunzi wa kike ni wakati muafaka mkaandika zile hadithi wamama wanazotusimulia wakutusisitiza ndoa si lelemama.
Huyo jini alivyokosa busara alidhani gari lake na mume zilikuwa zinatumika kumhudumia mama wa mumewe!!!! Shame on her you can not judge before listening throughly! After knowing it's her own mum in shirt!that's why she came back from her sense
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom