hataa hii ni ya kitoto pia...
yani kesho am killing someone....
i have bought a puma t-shirt from some shop and on reaching home, i hav realised that the logo is an elephant and not the usual jaguar... daaah.
yani kesho am killing someone....
i have bought a puma t-shirt from some shop and on reaching home, i hav realised that the logo is an elephant and not the usual jaguar... daaah.
Nawaza mambo kwa kina na bado majibu sina, uwezo wa Mods unaonekana wangeamua ingewezekana. Ingekua Vipi kama kila tread mtu anayopost ingekua inalipiwa? Je, ndo ungekua mwisho wa treads za kitoto zisizo na kichwa na miguu? Ingekua vipi kama kusinge kuwa na ban, unadhani nidhamu ingekuepo? Ingekua vipi kama kila member angekua anatumia jina lake kamili, je ndo ingekuwa mwisho wa watu kutoa matatizo yao ya chumbani? Tuendelee na Ingekua vipi
si ungeandika kiswahili basi mkuu!" ............
ingekuwa vipi ungejidai hujaona hyo lugha.?!.
ingekuwa vipi usingemfatilia
u are not owkay!!.pitia hospitali kabla hujaenda kuua mtu.
you may be right. let me first re check the spelling aiseee... it could be "pama" instead of "puma.."
ingekuwa vipi ungenialika pindi unaenda kununua pengne usingewaza kuua mtu kesho!!.
ingekuwa vipi usingeni~quote?!.
hahaaa... ingekuaje ungetapeliwa wewe?
hahaaa... ingekuaje ungetapeliwa wewe?
ingekuwa vipi hujui maana ya neno quote
ingekuwa vipi ungekausha akatapeliwe