Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 803
Nipo nae kitandani tena ni usiku mkubwa, mara sim yake ikaita basi siiuongea chochote akapokea wakawa wanaongea kiluga cha kikwao. Nilìpomuuliza akasema ni kaka yake baada ya kumbana na kibao kimoja takatifu ikabidi aseme ukweli kwamba ni mshkaji wake ila ni wa kitambo hua anamchunaga tu na mzigo hampi na hapo alimpiga mzinga wa laki 4 akasema tutagawana pasupasu nisijali. Ndivyo nilivyokatwa makali. Kweli kesho yake mshkaji katuma akanigaia zangu 2.
Sasa nauliza kuna mapenzi ya kweli hapo au ndo mwendo wa kupotezeana muda? Wazoefu naomba weledi wenu na wakina dada niwekeni wazi.
Sasa nauliza kuna mapenzi ya kweli hapo au ndo mwendo wa kupotezeana muda? Wazoefu naomba weledi wenu na wakina dada niwekeni wazi.