Aca maswali ya kipumbavu....
Ngoja nkusimulie jambo
Kuna mwanamke nlikutana nae chuo huko beya TIA pale....nilimpenda sana na alikuwa n kisu kwel ila ttzo likaja kila siku naskia story mpya za kwake, mala wana walipanda dau laki tu akatoa mzigo, na maisha ya chuo laki n palefu, ...nkafuta ukurasa, la pili alinipaga simu yake iiharibika nmpelwkee kwa fund, nakuja fungua ile simu baada nakuta mtu ambaye alintambulisha n nduguye n bwan wake....nilompa mauchebe pale lakin tukarudiana tena....MAHUSIANO YA KIMAPENZ KWA KWETU UU NAHIS N KMA VITA...ILA MKUU NIIFANYA MAAMUZ NA NLITESEKA SANA MKUU..USPOWAI FANYA MAAUMUZ ITAKUCOST...alikuwa akichukua hela kwa majamaa ananletea...ila no future apo, ...ila mpaka leo nampenda dah, ...