usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,900
Huko unakosema kuokoa mwenzako ni jukumu lako kujitolea huduma za kijani, jukumu hill unaanza kufundishwa shule ya msingi na halina malipo.Hawa wavuvi walio fanya kwa moyo mmoja na kujitoa kuokoa uhai wa wananchi 40 katika ajali ya MV.NYERERE sasahivi wangekua wanaenda kupata ajira kwenye majeshi ya wanamaji au uokozi na wangepitia kozi mbalimbali waweze kuongeza ujuzi katika haya maswala,mfano lile swala la kijana wa kiafrica kumwokoa mtoto katika ghorofa uko ufaransa,rais wa nchi alijitahidi kumshawishi na kumpa uraia na akajiunga kwenye jeshi la uokozi kwa kumwokoa raia mmoja ila huku kwetu wameweza kuokoa watu takribani 40 siwezi kushangaa hata wasipo pewa medali yeyote hawa mashujaa hata wasipo lipiwa tiketi ya ndege kuja ikulu kuonana na mh hata kuwapa moyo tu au yeye akienda kanda ya ziwa kuomba akutane nae ili aweze kuonyesha kutambua mchango wao kwa taifa
Mwisho twendelee kuwaombea hawa ndugu zetu waweze kupumzika salama na mwenyezi awaweke mahali palipo salama pia.AMEEN
StupidityKutoa msaada sio lazima ujitangaze.. Hafu serikali ni mimi na wewe anza kuwapa mshahara wako wamwezi huu then sisi twaja sio kupiga kelele tu humu
Kuwapa motisha ni kujitangaza?kuna sehemu nimesema uwape mshahara wako wewe?serikali labda ni ww me kiuhalisia ni mwananchi wa kawaida kbsaa maana sijawahi hata kuulizwa au kusikilizwa kuhusu vipao mbeleKutoa msaada sio lazima ujitangaze.. Hafu serikali ni mimi na wewe anza kuwapa mshahara wako wamwezi huu then sisi twaja sio kupiga kelele tu humu
Ndo mana nkasema kwa wenzetu na hata ivyo inaweza ikawezekana hata kwetu rais msikivu huyu in jenista mwagama's voiceKwa afrika ni ndoto
Police wengi wa kiafrica wanatekeleza maagizo toka juuLeo nilikuwa nawaza hivyo lakini kwa Tanzania ni ngumu labda
Polisi wetu wapo tayari kupiga risasi wapinzani lakini sio kusaidia watanzania
Aaaha walimu wako walikua na moyo mzuri mpk wanakufundisheni vitu vizuri ivyoHuko unakosema kuokoa mwenzako ni jukumu lako kujitolea huduma za kijani, jukumu hill unaanza kufundishwa shule ya msingi na halina malipo.