Habari wana jamii forum, naomba kujuzwa kozi ipi ni nzuri zaidi kati ya hizo tajwa hapo juu maana nimechaguliwa kwenye multiple. Note: education (chemistry &biology)
Habari wana jamii forum, naomba kujuzwa kozi ipi ni nzuri zaidi kati ya hizo tajwa hapo juu maana nimechaguliwa kwenye multiple. Note: education (chemistry &biology)
Kila moja ina uzuri wake na ubaya wake;
Education (Chemistry & bios) ni coz heavy na ila ipo kuajiliwa zaidi na pia ina soko kwenye hata private school BUT
ICT unaweza kujitegemea na sio coz unayosoma na kutegemea kuajiliwa.! Ajira zake bado ni changamoto hivyo unaandaliwa kujitegemea zaidi. So huo ni mwanga kidogo