curry_atomic
Member
- Mar 30, 2020
- 57
- 48
Naweza fanya software development sana sana maswala ya programming ndio nimejikita sana huko nikipata kazi ya web, software nafanya ila tu changamoto kubwa kwa sasa hizo kazi hata sipati nifikili kutengeneza connection na watu ndo inaongeza network ndomana nika focus kuingia kweny tasisi pengine huko naweza juana na watu zaidiTofauti na kazi au intern nikitu gani unaweza fanya mwenyewe mtaa kinachoendana na taaluma yako.
upo mkoa ganiNaweza fanya software development sana sana maswala ya programming ndio nimejikita sana huko nikipata kazi ya web, software nafanya ila tu changamoto kubwa kwa sasa hizo kazi hata sipati nifikili kutengeneza connection na watu ndo inaongeza network ndomana nika focus kuingia kweny tasisi pengine huko naweza juana na watu zaidi
Nenda Datastar college ya kko karibu na machinga complex wanatafuta anayejua java.Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana.
Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi yoyote lengo ni kupata work experience inisaidie kusonga mbele katika ushindani wa ajira.
Nina ujuzi katika mamb yafwatayo
1. System development using frameworks (Laravel, Spring boot, spring data JPA,spring security)
2. Database design and implementation
3. Nafahamu programming language zifwatazo (Java,Php,javascript)
4. Frontend library (React.js)
5.Frontend(Html,css, bootstrap)
Ingawa nimejikita sana kwenye programming ila pia networking,window server administration, system analysis naufahamu nayo
GitHub link ambako kuna repository za baadhi ya project zangu binafsi ambazo nimekua nikifanya
Curry-flex - Overview
Live Laugh Learn Love. Curry-flex has 59 repositories available. Follow their code on GitHub.github.com
Phone: 0738886086
Natanguliza shukranii
Sawaa mkuu shukranii ngoja nijaribuNenda Datastar college ya kko karibu na machinga complex wanatafuta anayejua java.
congratulations... kama upo vizur kwenye Cyber Security.. Find vulnerability ktk system mbalimbali hasa (financial institutions) Attack...... (Penetrate) ktk databse yao na weka Backdoor ktk system yao then... wafate waombe kazi na wambie wana weakness (bugs) so wakuajiri uweze ku solve..Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana.