Regimen ya cancer ni ngumu, ndugu yangu. Let’s face it, Tanzania ilikuwa na cancer (na bado ina cancer). Inauma sana kwamba 1% ya Watanzania ndiyo walikuwa wanafaidi cake ya taifa huku wengine waliobaki (99%) wakiishi (for too long) kwa kutegemea trickle-down economics.
Approach ya JPM (RIP) ndiyo regimen sahihi kwa ugonjwa wa hii nchi! Natumaini hatokei mtu wa kuuzima moto aliouwasha na kutusababishia relapse (kuturudisha shimoni)!