Brown Tz Member Joined Mar 31, 2017 Posts 20 Reaction score 5 Oct 22, 2017 #1 Wadau naomba kuuliza ICT ni kozi inayohusu mambo gani na pia ukisoma ICT unaajiriwa sehem gan au unaweza jiajiri kufanya kazi gani naomba msaada wadau
Wadau naomba kuuliza ICT ni kozi inayohusu mambo gani na pia ukisoma ICT unaajiriwa sehem gan au unaweza jiajiri kufanya kazi gani naomba msaada wadau
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Oct 22, 2017 #2 Kila kampuni yenye computer utaajiliwa
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,404 Oct 22, 2017 #3 makampuni ya mawasiliano pia...
Anakonda mtoto wa nyoka Member Joined Oct 26, 2017 Posts 31 Reaction score 4 Oct 27, 2017 #4 Hivi mganga wa ukweli huwa anatanguliza pesa au badae mganga wa ukweli utamjuwa vipi sababu wengi matapeli
Hivi mganga wa ukweli huwa anatanguliza pesa au badae mganga wa ukweli utamjuwa vipi sababu wengi matapeli