Infinix Vs xioami

Infinix Vs xioami

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,250
Reaction score
2,036
Naomba mwenye uzoefu na brand hz mbili za simu toka China ipi bora? Ukirecommend na model itapendeza, nawatakia jioni njema
 
xiaomi ni nzuri zaidi kuliko infinix kwa kuangalia zaidi chipset zake
maana infinix nyingi ni mtk na xiaomi ni Qualcomm n.k
pia upande wa battery na camera bado xiaomi wapo juu bila kusahau customer support ya xiaomi iko vizuri.
n.b kumbuka infinix na tecno ni company moja kuhusu model hapo inategemea na mfuko wako upoje kwa naelezo zaidi unaweza kusoma kwenye uzi hapo chini

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja - JamiiForums
 
Naomba mwenye uzoefu na brand hz mbili za simu toka China ipi bora? Ukirecommend na model itapendeza, nawatakia jioni njema
Mkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.
 
Attachments

  • Best smartphone brands.PNG
    Best smartphone brands.PNG
    32.5 KB · Views: 62
Usifananishe xiaom na uchafu tecno infinix itel hizo hata zikiungana hazifikii ubora wa xiaom
 
Mkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.
Hao tecno na ndugu zake hata 100 bora hawapo
 
Samsung ipo 1st tangu nimeanza tumia na enjoy sana super Amoled +feature za kibabe raha sana kitu smoothly.
 
Naomba mwenye uzoefu na brand hz mbili za simu toka China ipi bora? Ukirecommend na model itapendeza, nawatakia jioni njema
Xiaomi ipo juu ukilinganisha na infinix
 
Mkuu on a serious note kabisa haya maneno mawili hayakutakiwa kuwa kwenye sentensi moja kabisa.......yaani xiaomi anashindana na kampuni kama vile Samsung kwa soko la India na baadhi ya emerging markets.....Xiaomi anauza almost worldwide isipokuwa marekani tu sababu ya mambo ya kisiasa/diplomasia....hao infinix ni subbrand ya Tecno ambazo hata China zinakotengenezwa hawazitumii.Angalia google search result ambayo nimeipata hapo kwa chini.....jaribu pia na wewe uone.
Vp kuhusu model yao nzuri na latest,bei tsh ngapi kwa Dar? usinichoke asante
 
Hivi hizi Xiaomi sijui zinauzwa wapi kwasababu nazitafuta bila mafanikio kabisa
 
Back
Top Bottom