Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,359
- 2,787
Unaijua mtk vizuri wewe au unaisikia tu? Tecno wanatumia mtk za bei rahisi na uwezo mdogo ndio maana unaiona mbaya 2023/2024 mtk d9400+ imeongoza kwa ubora mpk ilipotoka snapdragon elite ambayo itaanza kutumika mwakaniMimi nikishaona kitu ni Mediatek chipset huwa nasema uwiiii
Sure. IP67 anasema water resistant. ?Mkuu hio simu sio water resistant ni splash resistant tu kama mvua n manyunyu
Hii brand nimekuwa addicted nayo nimeshindwa kubadili brand nyingine badala yake Huwa nabadili thamani ya simu tuu๐๐ป๐ณ๐ถ๐ป๐ถ๐ ๐๐ถ๐บ๐ ๐ป๐ด๐๐บ๐ ๐ธ๐๐๐๐ป๐ท๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ณ๐ฎ
View attachment 3149573
Kampuni ya infinix wakati tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 wao wameamua kutuletea toleo jipya la simu ya infinix Hot50i series' simu za bei poa zikiwa na sifa kedekede.
๐งฟ Simu hii kiboko kwenye uimara ni ngumu mno kuvunjika ikitokea umeangusha kwa bahati mbaya basi usijali haivunjiki kabisa.
View attachment 3149574
๐งฟ Pia ina uwezo wa kuzuia maji yasiingie ndani ikitokea simu yako imetumbukia kwenye Swimming pool, mtaroni, au imenyeshewa mvua we relax tu.
View attachment 3149575
๐งฟ Kioo Kilichokuja nacho kina sifa ya kuzuia mikwaruzo Yani kuvunjika vunjika yani Kioo imara sio poa.
View attachment 3149576
๐งฟ Imekuja na android Os version ya 14 unaweza fanya upgrade kwenda android version 15.
๐งฟ Kioo chake Kiko poa kwa wale wapenzi wa Game , content creator wa video au kuandika makala Iko poa sana.
View attachment 3149577
๐งฟ Muonekano wake sio kama Infinix nyingine hii ni nyembamba Iko poa inashikika mkononi na ku enjoy bila kusahau rangi kali yenye msisimko.
๐งฟ Speaker za JBL Aisee mdundo mkali wenye kusisimua masikioni na machoni huku ukisikia sauti nzuri yenye ubora wakati unazungumza na simu au kusikiliza kitu.
Imetoka ikiwa na matoleo matatu
๐ Infinix Hot50 yenye 128Gb + 8Gb
๐ Infinix Hot50i yenye 256Gb + 8Gb na
๐ Infinix Hot50Pro + yenye 256Gb + 16Gb
Helio G81๐คฃ๐คฃ๐คฃ si uchafu huu๐๐ป๐ณ๐ถ๐ป๐ถ๐ ๐๐ถ๐บ๐ ๐ป๐ด๐๐บ๐ ๐ธ๐๐๐๐ป๐ท๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ณ๐ฎ

G99 ultimate haina shidaMimi nikishaona kitu ni Mediatek chipset huwa nasema uwiiii