Infinix note4 pro

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
656
166
wadau ninasimu aina ya infinix note4 pro,hii Simu haikamati network huwa inaniandikia cellular data not available mwenye kujua jinsi ya kutatua hili tatizo la network anisaidie,shukrani.
 
nimerestore lakini wapi na hata hard reset nimefanya Hamna kitu na nimebadilbadili 2g/3g,3g,2g lakini wapi.
 
ninachohitaji ni jinsi ya kutatua tatizo kwa anaefahamu na si vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom