chilundu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 347
- 229
Katika Hali isiyotegemewa hawa jamaa wa simu za Infinix wameamua kuanza kutoa update za operating system nadhani hii inawezekana ikawa mara yao ya kwanza ,mfano ni hii simu yao Infinix note 11 imepokea update ya android 12...Je,hii inaweza kuwa mwanzo wa maboresho ya hizi simu zao za mitikenga wadau?
