hio app inatumia njia za kawaida au adb? una driver za mediatek?
rudi huko ulipoitoa hio tutorial ya kingoroot angalia wametumia adb au njia ya kawaida?
kama ni adb utaenda setting kisha developer option kisha usb debuging eka on. kama huna developer option nenda setting kisha about kisha kwenye build number gusa mara nyingi nyingi itakuja developer option kwenye setting.
kama ni njia ya kawaida utahitaji drivers za mediatek kwenye pc yako itategemea una mediatek ipi maana zipo nyingi nyingi angalia specs za simu yako. zipo mt65xx mt67xx etc.