Infinix hot 5

omary khamis

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Posts
402
Reaction score
77
Habar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
 
Nenda kwenye settings, shuka hadi kwenye About device, nenda kwenye System Update.

Utaona wameandika hiyo update ina faida gani.
 
Habar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
Update yoyote ile inakuwa na kitu kinaitwa change log, ukiisoma utaelewa faida gani utapata ukii update hio simu. Mfano angalia hii screenshot ya update


Hapo unaona mtu aki update hio simu yake itaboot faster, itapata ulinzi zaidi, itapata uwezo wa picture in picture etc.
 
Habar wana jf me natumia simu aina ya infinix hua Mara kwa Mara inaniletea notifications ya ku- update system ,,,,,naomba kuuliza ni zipi faida za ku-update system
Weka picha mkuu tuone mi yangu ni infinix pro note 4 au 571 ilikuwa android version 7 naguot ila baada ya kuomba update imekwenda version 8.1 na zamani ilikuwa unasoma 4G ila now baada ya kuapdate inasoma LTE naona imeongezeka sana na imekuwa tami zaid hata net iko fasta zaidi. Kwa update tu wala usiogope.
 
Wenye Android version 8.1.0 tunapata raha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…