INFARED THERMOMETERS NA SANITIZER.

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
Infared thermometers kwa wenye maduka,malls,mashule,viwandani,majumbani nk kupima mtu joto la mwili bila kumkaribia zinapatikana kwa bei ya shilingi laki 3 tu.

Sanitizer 100ml bei elfu 10
500ml bei elfu 25

Tunapatikana Makumbusho stendi Da es Saalaam
Mikoani kwa mzigo mkubwa pia unatumiwa.

Tucheki WhatsApp @ 0769509430
Text&Normal calls @ 0716704990

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilingi laki 300?punguza kidogo mkuu fanya hata laki mia mbili!!![emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujaandikwa inazalishwa na nani na anwani yake ni ipi? halafu hiyo lebo imewekwa kisanisanii haina muhuri wa TBS na wala ingredients na asilimia zqake juaonyesha maana kuna watu wanauziwa manukato mijini yenye asilimia 40 ya alcohol wanajiaminisha ni sanitizer sijui zimeandikwa LIFLEA
 
Tbs na tmda hebu wapitie hizi sanitizer za Prof kishimba tusijepakwa gongo la mkuyuni,
 
Ila isije ikawa ndio zile fake
 
Duka linakaguliwa na tbs,tfda na tra zisingeweza kuwekwa dukani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mna tamaa sana jamani, IF THERMOMETER hadi inafika hapa toka CHINA ni 100, 000 Tsh tu maximum, unauzaje Laki tatu aisee?
 
Duh wabongo noma, hizo za watoto unataka upate faida 240, 000 nzima, hizo ni 60, 000 tu hadi inafika hapa toka China
 
Wabongo wanatamaa sana ..yani kwenye matatizo badala ya kuhurumiana wao wanachukulia kama fursa za kibiashara .yani hizi thermometet sanitizers na facemask(barakoa)wamepqndisha bei sana kuna duka moja nilienda kuulizia mask moja wananiambia buku tano wakati kipindi cha nyuma nilikuwa nanunua moja kwa jero..(ninauwelewa kuhusi quality ni ileile ila tu tamaa zao zimewazidi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanitizer inayokubalika inatakiwa iwe na alcohol ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…