Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Dodoma, 13 Novemba, 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea taarifa kuhusu kifo cha cha Ndugu Anthony Peter Choma aliyekuwa mgombea wa Udiwani katika Kata ya Malangali kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichotokea tarehe 29 Oktoba, 2025 saa 6:00 Mchana kabla ya kumalizika upigaji wa kura. Uchaguzi katika Kata hiyo ulisitishwa rasmi tarehe 29 Oktoba, 2025.
Taarifa ya kusitishwa kwa uchaguzi tajwa, imetolewa kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 71(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024.
Aidha, kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 68(1), (3) na (4) na 71(2) vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, Tume imetoa taarifa kuwa mambo yafuatayo yatafanyika katika uchaguzi wa Udiwani Kata ya Malangali Jimbo la Sumbawanga Mjini kama ifuatavyo: