Indian toilets

Kawaida vyoo vya wazee na vilema vinawekwa mabomba ya kushikia ili wawe na balance support wakiinuka. Wazee wengi wakiwa na huduma kama hizi wanaweza kuishi bila kutegemea msaada wa ziada kutoka kwa mtu.
 
Dah........mnatuchanganya mjue,,,,,,😎😎
Why Indian toilet is best - Scientific Reason - Guruprasad's Portal
 
Na ukitaka cock ya pressure ambayo inasafisha masalia kabla mkono haujafikani ghara nyingine.
Yaani complete choo flash tank na cock magic yake ya chini mara ya mwisho ofisini tulinunua 480,000 india type vyote
 
Yaani complete choo flash tank na cock magic yake ya chini mara ya mwisho ofisini tulinunua 480,000 india type vyote
Kule kwenye picha aluminium Indian toilet ilikuwa inauzwa laki sita
 
Wazee wa zamani waliishije, maana nimesikia wazee wazee watashindwa kutumia vya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…