Harusi si sikuhizi mnafanyia kwenye kumbi? Lakini kuna the wale ndugu wa kutoka Kaliua na NanjilinjiSi msiba tu mkuu. Kusanyiko la aina yoyote la kijamii nyumbani kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wewe ni mtu wa namna gani? Nimekuona majukwaa kadhaa huwa unakuwa na hoja Simple, unique ila żenye mantikiView attachment 846246
Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging issues.
Kwa experience yangu wazee wengi wa 65+ hawawezi kuchuchumaa wakienda haja. Technology ilivvyoendelea siku hizi hata cancer ikiwahiwa inapona na HIV si tatizo tena kama unabuia njugu kila siku.
Maana yake aging population huko tuendako itakuwa kubwa. Sasa uwalete wazee kutoka kijijini kwa matibabu mjini. Kuwawekea Indian toilet ni kuwatesa.
Hata sherehe pia 😉 😉 😉 😉 kwanini utaje msiba tu?Hiki ni muhimu hata kwa choo cha nje. Ukipata msiba ndipo unapojua unuhimu wa choo cha nje
Sky una data nyingi sana sasa unavyokuwa unazimwaga kwa mpigo kuna slow learners hawakuelewi,hapo kwenye njugu huwa inafika wala njugu nao viral load inakuwa kubwa wanaanza kuumwaView attachment 846246
Nilikiona hiki dukani, nilikumbuka vile vyoo vya ceramic tulivyotumia boarding schools. Indian toilet wengi hupenda kukiweka kama family toilet au communal toilet. Ukikijenga zingatia aging issues.
Kwa experience yangu wazee wengi wa 65+ hawawezi kuchuchumaa wakienda haja. Technology ilivvyoendelea siku hizi hata cancer ikiwahiwa inapona na HIV si tatizo tena kama unabuia njugu kila siku.
Maana yake aging population huko tuendako itakuwa kubwa. Sasa uwalete wazee kutoka kijijini kwa matibabu mjini. Kuwawekea Indian toilet ni kuwatesa.
😂😂😂Choo cha kukaa labda tutumie wawili Mimi na hubby,..zaidi ya hapo bora niende porini,..
Unaogopa kingdom fungi?Choo cha kukaa labda tutumie wawili Mimi na hubby,..zaidi ya hapo bora niende porini,..
Sky naomba unipe wasifu wa Oprah tafadhali hasa kuhusu mafanikio yakeNa wakiumwa kuchutama inakuwa problem
italifanyia kazi ombi lako lakini weekend hii niko second honey moon na babu yenu AsprinSky naomba unipe wasifu wa Oprah tafadhali hasa kuhusu mafanikio yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haha not only kingdom fungi but also diseases[emoji23]Unaogopa kingdom fungi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora uende porini mkuu, maana kuna watu wana ukurutu makalioni 😂wasije kukuambukiza bure!Ha haha not only kingdom fungi but also diseases[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Choo cha kukaa labda tutumie wawili Mimi na hubby,..zaidi ya hapo bora niende porini,..
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Na nnavyouogopa ukurutu wa makalio bora hata ukoma wa mikono kuliko ukurutu wa sehemu tam tam[emoji23][emoji23]Bora uende porini mkuu, maana kuna watu wana ukurutu makalioni [emoji23]wasije kukuambukiza bure!