wanaangalia National GDP....kwa aliyesoma Economics anafahamu vizuriNaombeni kujua uchumi unapimwaje wakuu maana sijaiona Urusi wakati India na Ufaransa wapo
Uchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.Naombeni kujua uchumi unapimwaje wakuu maana sijaiona Urusi wakati India na Ufaransa wapo
Asante kwa ufafanuzi wako mkuuUchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Kwa nchi kama india kuipita france si swala la kushangaa sana kutokana na idadi yao inafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma kuwa mwingi lakini standard ya maisha ipo chini maana hiyo gdp unakuta haindani na ukubwa wa watu wa nchi husika halafu GDP haingalii mambo mengi ndio maana baadhi ya wachumi wanapenda kutumia PPP na HDI (purchasing power parity na Human Development Index).
Ndio maana france au Switzerland ni developed countries na india ni developing country japokuwa india ana uchumi mkubwa.
Kwa swala la urusi ni nchi ambayo sioni kama imewekeza sana kwenye consumer goods ukilinganisha na india, hapa bongo unaweza kukutana na bidhaa nyingi toka india kama bajaji,tata nk lakini ni ngumu kukutana na bidhaa toka urusi hawa waliwekeza sana kwenye masilaha na kuuza gesi.
Mkuu hili ni jukwaa la kimataifa,habari za dream liner zipo kibao kwenye jukwaa la siasa na Hoja mchanganyikoSawa sisi Tanzania tumekua wangapi Tumeipiku nani, mkuu "charity begins at Home" Mkuu ilishakua sisi niwatanzania hatuwezi kua Wahindi au wafaransa tena....tutafutie habari za dreamliner kama itapata abiria route ya India?
Umenena more professionally kiasi kwamba sio wengi watakuelewa, ndio maana nchi za Scandinavia hazina GDP kubwa kama US, China, Japan au Germany lkn kwa HDI wako dunia nyingine tofauti na hao.Uchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Kwa nchi kama india kuipita france si swala la kushangaa sana kutokana na idadi yao inafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma kuwa mwingi lakini standard ya maisha ipo chini maana hiyo gdp unakuta haindani na ukubwa wa watu wa nchi husika halafu GDP haingalii mambo mengi ndio maana baadhi ya wachumi wanapenda kutumia PPP na HDI (purchasing power parity na Human Development Index).
Ndio maana france au Switzerland ni developed countries na india ni developing country japokuwa india ana uchumi mkubwa.
Kwa swala la urusi ni nchi ambayo sioni kama imewekeza sana kwenye consumer goods ukilinganisha na india, hapa bongo unaweza kukutana na bidhaa nyingi toka india kama bajaji,tata nk lakini ni ngumu kukutana na bidhaa toka urusi hawa waliwekeza sana kwenye masilaha na kuuza gesi.
basi huku ndio penye neema na utu.na si ndio zenye idadi kubwa ya wakaazi wenye furaha duniani?Umenena more professionally kiasi kwamba sio wengi watakuelewa, ndio maana nchi za Scandinavia hazina GDP kubwa kama US, China, Japan au Germany lkn kwa HDI wako dunia nyingine tofauti na hao.
Nimeyaona mkuuUchumi unapimwa kwa kutumia GDP(gross domestic product) thamani ya bidhaa na huduma ambazo nchi husika huzalisha ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Hili mara limachochewa na shughuli za kiuchumi zinazotengenezwa ndani ya nchi.
Kwa nchi kama india kuipita france si swala la kushangaa sana kutokana na idadi yao inafanya uzalishaji wa bidhaa na huduma kuwa mwingi lakini standard ya maisha ipo chini maana hiyo gdp unakuta haindani na ukubwa wa watu wa nchi husika halafu GDP haingalii mambo mengi ndio maana baadhi ya wachumi wanapenda kutumia PPP na HDI (purchasing power parity na Human Development Index).
Ndio maana france au Switzerland ni developed countries na india ni developing country japokuwa india ana uchumi mkubwa.
Kwa swala la urusi ni nchi ambayo sioni kama imewekeza sana kwenye consumer goods ukilinganisha na india, hapa bongo unaweza kukutana na bidhaa nyingi toka india kama bajaji,tata nk lakini ni ngumu kukutana na bidhaa toka urusi hawa waliwekeza sana kwenye masilaha na kuuza gesi.
India aisee tishio sana kwa sasa hii yote ni kwamba hawa jamaa wana population kubwa sana nje ya nchi yao afu wamekuwa tegemeo katika taifa hayo na pia katika technologia wanakua kwa kasi mnooooIndia imeipiku Ufaransa kiuchumi na Sasa ni nchi ya sita kwa uchumi mkubwa Duniani ikiisogeza Ufaransa nafasi ya 7 toka ya 6.
India's economy overtakes France to become sixth largest in the worldView attachment 808325
Siku zote huwa naamini kuwa maendeleo huchagizwa na idadi ya watu. Nchi zetu za kiafrika bado tunaamini katika kuwa na watu wachache. Wanaoongoza kwa idadi ya watu ulimwenguni ndiyo huchomoza kimaendeleo. Hata kwenye historia, yalianza mapinduzi ya idadi ya watu na vingine vilifuata. Tuzaliane kwa wingi ili tuendelee. Hongera India!
kwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka
india sasa ina uchumi mkubwa zaidi ya ufaransa kwa design zote PPP na GDP, Uchotaka kuongelea ww ni GDP per capital hio ndio inaangazia hali za wananchikwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka
Hapo hapo mkuu India Wananchi wake wengi ni choka mbaya wanaokota vyakula majalalani mkuu ufaransa ni ufaransa tukwahiyo mnataka kusema india wana uchumi mkubwa kupita ufaransa??labda uchumi wa makaratasi tu
hali ya maisha ya wahindi ukifananisha na ya wafaransa ni dhambi iliyotukuka