dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,126
- 49,385
- Thread starter
- #41
... ndivyo mnavyopeana likes ili msijione wapweke? Sihitaji like hata moja kwa taarifa yako.Yaani huyu jamaa ana ubongo wa mende, Alafu ukiangalia mada zake nyingi ni za chuki hana mada ata moja ya maana, ukiona kuna mtu kamuunga mkono ujue anampa moyo tu asijione mpweke ila wenzake wanajua kuwa hichi ni kimeo , na wanajua kuwa mada zake ni takataka, wanampa like ili asijione mpweke