India yaimeza rasmi Kashmir, ni wakati muafaka kuimeza Zanzibar?

dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,487
Points
2,000
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,487 2,000
Yaani huyu jamaa ana ubongo wa mende, Alafu ukiangalia mada zake nyingi ni za chuki hana mada ata moja ya maana, ukiona kuna mtu kamuunga mkono ujue anampa moyo tu asijione mpweke ila wenzake wanajua kuwa hichi ni kimeo , na wanajua kuwa mada zake ni takataka, wanampa like ili asijione mpweke
... ndivyo mnavyopeana likes ili msijione wapweke? Sihitaji like hata moja kwa taarifa yako.
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,968
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,968 2,000
Uzuri ni kwamba nyakati zimebadikika sasa, unapoleta mada za ajabuajabu au chuki hakuna anaekuunga mkono zaidi ya watu kukucheka, weka mawazo yako potofu pembeni thn unaweza kutoa mada ikaeleweka, au ikibidi kaa kimya, = JIREKEBISHE
... ndivyo mnavyopeana likes ili msijione wapweke? Sihitaji like hata moja kwa taarifa yako.
 
I

iamokay

Member
Joined
Jul 13, 2019
Messages
98
Points
150
I

iamokay

Member
Joined Jul 13, 2019
98 150
Changamoto za muungano bado ni nyingi sana, waliowahi kuwa na nyadhifa nyeti serikalini ukiwauliza hili la muungano, wanakwambia acha kabisa eneo hilo, utapotea kama upepo, kuna mtu aliwaingiza wenzake kwenye mtego ambao unawatafuna na utawatafuna miaka na miaka.
 
for life

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
2,154
Points
2,000
for life

for life

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
2,154 2,000
Ukitaka kufahamu kuwa tukichukia hata leo zanzibar inakua mkoa na mkuu wa mkoa anakuwa shein kwanza umeme tumewapa sisi rais tumewapa jeshi ni la kwetu hela wanatumia ya kwetu ni kitendo cha kuwaambia wanaotaka waende oman na waende ila kuanzia sasa ule ni mkoa kama mikoa mingine
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,390
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,390 2,000
Ukitaka kufahamu kuwa tukichukia hata leo zanzibar inakua mkoa na mkuu wa mkoa anakuwa shein kwanza umeme tumewapa sisi rais tumewapa jeshi ni la kwetu hela wanatumia ya kwetu ni kitendo cha kuwaambia wanaotaka waende oman na waende ila kuanzia sasa ule ni mkoa kama mikoa mingine
Hayo ndio matatizo yenu. Kitu cha ushirika nyie mnajimilikisha. Hiyo Pesa na Jeshi ni vyenu wote sio pekeenu. Ila kwa vile Muna nguvu ndio munajimilikisha.
 
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
2,175
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
2,175 2,000
Siku hizi naona WaZanzibari wako kimyaa. Inawezekana sasa wanafurahia muungano baada ya kero nyingi kutatuliwa...
Wazanzibari wameshauriwa walete kero zoote za muungano zitatuliwe. Wasikae nazo. Hawana tena haja ya kufa na tai shingoni ihali uwezo wa kutatua kero zao upo!
Mama Samia amepewa jukumu zito la kuhakikisha anazifyeka kero zote za muungano kila mara zinapojitokeza...
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,477
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,477 2,000
Ukitaka kufahamu kuwa tukichukia hata leo zanzibar inakua mkoa na mkuu wa mkoa anakuwa shein kwanza umeme tumewapa sisi rais tumewapa jeshi ni la kwetu hela wanatumia ya kwetu ni kitendo cha kuwaambia wanaotaka waende oman na waende ila kuanzia sasa ule ni mkoa kama mikoa mingine
Ndio maana hamuendelei kwa chuki zenu.
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,247
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,247 2,000
Ukitaka kufahamu kuwa tukichukia hata leo zanzibar inakua mkoa na mkuu wa mkoa anakuwa shein kwanza umeme tumewapa sisi rais tumewapa jeshi ni la kwetu hela wanatumia ya kwetu ni kitendo cha kuwaambia wanaotaka waende oman na waende ila kuanzia sasa ule ni mkoa kama mikoa mingine
Unajiona una akili kumbe ubongo wako uma kamasi tupu, hivi umadhani hivyo unavyosema mmewapa mmewapa bure au wananunua, na hata hizo pesa kusema wanatumia zenu umeshawahi kujiuliza waliwezaje kuishi kabla ya muungano na je matumizi walikuwa wakitumia hela zipi?
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,968
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,968 2,000
Wtz wengi wana rohombaya zilizojaa chuki ndani yake, kwa mfano angalia kilichojitokeza juzi Uhayani, eti wamemchomea mwenzao shamba lake, wakamuulia mifugo yake wakateketeza mazao yake eti KISA ana eneo kubwa, yaani hizi akili na roho kama yako kuwa hamtaki maendeleo ya wenzenu hii yote ni kutokana na roho zenu kuwa nyeusi kama sura zenu, wivu umewajaa, mnatamani watu wote waishi maskini na kupata tabu ya maisha, mnaona kuwa mkiwapa zanzibar nchi kamili watakua na maendeleo ya haraka sana, ndio maana nchi ina laana mpaka mnaona wivu Rwanda ya juzi iliotoka kwenye vita kuwa ni nchi ya kupigiwa mfano kimaendeleo, mnatamani Rwanda irudi kwenye vita na mnaiombea usiku mchana na Fake news zenu, hizi ndio akili nyingi sisi wabongo
Ukitaka kufahamu kuwa tukichukia hata leo zanzibar inakua mkoa na mkuu wa mkoa anakuwa shein kwanza umeme tumewapa sisi rais tumewapa jeshi ni la kwetu hela wanatumia ya kwetu ni kitendo cha kuwaambia wanaotaka waende oman na waende ila kuanzia sasa ule ni mkoa kama mikoa mingine
 
MaluguMlp

MaluguMlp

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Messages
448
Points
250
MaluguMlp

MaluguMlp

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2018
448 250
Kumbuka Pakistan na India wote ni marafiki wa Russia remember s.400
 
MaluguMlp

MaluguMlp

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Messages
448
Points
250
MaluguMlp

MaluguMlp

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2018
448 250
Kumbuka Pakistan na India wote ni marafiki wa Russia remember s.400
 
for life

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
2,154
Points
2,000
for life

for life

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
2,154 2,000
Unajiona una akili kumbe ubongo wako uma kamasi tupu, hivi umadhani hivyo unavyosema mmewapa mmewapa bure au wananunua, na hata hizo pesa kusema wanatumia zenu umeshawahi kujiuliza waliwezaje kuishi kabla ya muungano na je matumizi walikuwa wakitumia hela zipi?
Wew kaaa kmya ficha upumbavu wako unajua zeco tuliwasamehe deni la shngp zanzibar wana hela gani ya kununua kitu toka kwetu tena usirudie
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,247
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,247 2,000
Wew kaaa kmya ficha upumbavu wako unajua zeco tuliwasamehe deni la shngp zanzibar wana hela gani ya kununua kitu toka kwetu tena usirudie
Toa utumbo wako hapa, uliwasamehe wewe na nani? Ukiwa mjinga usiwe mjinga kamili bakisha japo akili kidogo zikusaidie.Shein alisema kama vp kateni umeme wenu mlishindwa nini?!
 
for life

for life

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
2,154
Points
2,000
for life

for life

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
2,154 2,000
Toa utumbo wako hapa, uliwasamehe wewe na nani? Ukiwa mjinga usiwe mjinga kamili bakisha japo akili kidogo zikusaidie.Shein alisema kama vp kateni umeme wenu mlishindwa nini?!
Tulishidwa kwasababu nyie ni wanetu tukawasamehe maana sio vizuri mnatokwa na machozi mkilia na muumie macho kwa sababu ya vibatali vyenu
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,247
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,247 2,000
Wew kaaa kmya ficha upumbavu wako unajua zeco tuliwasamehe deni la shngp zanzibar wana hela gani ya kununua kitu toka kwetu tena usirudie
Kila siku kwenye forum kazi kujitapa tu, mara ooh zanzibar wanatunyonya, sasa kama wanawanyonya mnashindwa nini kuwaachia wajitegemee wenyewe! Mnashindwa nini? Then eti tuliwasamehe Unafurahisha sana, kwasasa zanzibar inachotegemea toka bara ni umeme tu ambao pia wananunua sio wa bure Kateni wenu wajiunge Kenya.
 
Forum statistics

Threads 1,325,698
Members 509,266
Posts 32,199,847
Top