Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,055
- 74,465
Kabla ya muungano Zanzibar walikuwa wakitumia umeme, nyumba ya kwanza kuwa na umeme Afrika Mashariki na kati ipo Zanzibar taa za barabarani Zanzibar zimewekwa mwanzo kuliko katika jiji la New York, nyumba ya kwanza kuwa na lifti ya umeme Afrika Mashariki na kati ipo Zanzibar, sasa kaa chini jiulize walikuwa wakitumia umeme gani! Mwehu kabisa wewe. Mkuu usiwe mjinga kamili bakisha walau akili kidogo zikusaidie, usiwe na akili za kwendea chooni tu!Tulishidwa kwasababu nyie ni wanetu tukawasamehe maana sio vizuri mnatokwa na machozi mkilia na muumie macho kwa sababu ya vibatali vyenu