Na wakati huo India haiwezi kupiga marufuku bidhaa za China, labda kwenye teknolojia muhimu za kiusalama kama data. La sivyo wajiandae kuharibika kiuchumi, hawaipendi ila wanalazimika ndio maana kwenye mgogoro wa Ladakh mwaka 2019 waliweka vikwazo bidhaa chache sana.
China haiwezi pigwa na India tuache utani. Wala Taiwan haiwezi kuipiga China. Kuna tofauti kati ya kudhibiti nchi isikupige na kuipiga hiyo nchi. China anakuwa underestimated kisa eti hajawahi pigana modern warfare. Kwa sasa China ina uwezo mkubwa sana wa kupambana na Urusi, sembuse India na Taiwan. Hata Taiwan yenyewe inajua fika kuwa bila Marekani with time itapigwa na PRC