Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,418
- 5,085
India anampango wa kupiga marufuku simu za kichina sinaua soko la ndaniHaya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana.
China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo.
Hahaaaa inachekesha sana mchina na mhindi kuchapana ,ukichek muvi zao ni katuni tupu hazina hata uhalisia ,je wakichapana si ndio vituko
NEW DELHI (AP) — India commissioned its first home-built aircraft carrier Friday as it seeks to counter regional rival China's much larger and growing fleet, and expand its own indigenous shipbuilding capabilities.
The INS Vikrant, whose name is a Sanskrit word for “powerful" or "courageous," is India's second operational aircraft carrier, joining the Soviet-era INS Vikramaditya that it purchased from Russia in 2004 to defend the Indian Ocean and Bay of Bengal.
The new 262-meter (860-foot) carrier, designed by the Indian navy and built at the Cochin shipyard in southern India, was launched by Prime Minister Narendra Modi as part of the country's commemoration of 75 years of independence from British
PRC apigwe na ROC are you serious ?Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.
1. India
2. Japan
3. Taiwan
Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
Na makampuni ya China baada ya kujua hilo yakafanya uwekezaji ndani ya India. India si wanakuja na Make in India Policy, China wanachukua opportunity kuwa investors na kupunguza mwanya wa competitionIndia anampango wa kupiga marufuku simu za kichina sinaua soko la ndani
Sio rahisi kama unavyodhaniNa makampuni ya China baada ya kujua hilo yakafanya uwekezaji ndani ya India. India si wanakuja na Make in India Policy, China wanachukua opportunity kuwa investors na kupunguza mwanya wa competition
Huyo mhindi wanajeshi wake walipigwa vibaya mpakani na PLA mpaka wengine wakawa mahututi ndio aje kutunushiana misuli na PLA , mchina sio kwamba hawezi kupigana ila yupo kwenye mpango wake wa 2025, 2050 na 2100 yeye anawaza uchumi hicho ndicho kitu kinacho mzuia kupigana kwa sasa ila huyo ROC hana huo ubavu wa kupigana na kaka yake PRC labda kama atakuwa amesahau makofi kaka yake aliyo mpiga 1949. Na huyo jirani Kanjibai akumbuke kwanza PLA ailicho wafanya wanajeshi wake mpakani na sio kusema ana huo uwezo wa kumkoromea PRC.Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.
1. India
2. Japan
3. Taiwan
Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.
PRC anaongeza utengenezaji wa submarine na aircraft carrier kwa ajili ya ulinzi wa bahari yake na mipaka yake na sio kutunishiana misuli na wakina Kanjibai.Haya mataifa mawili yamekua na uhasama wa mda mrefu sana.
China baada ya kutoa toleo lao jipya la aircraft carrier ,India nao wamefyetua yao ili kujibu mapigo.
Hahaaaa inachekesha sana mchina na mhindi kuchapana ,ukichek muvi zao ni katuni tupu hazina hata uhalisia ,je wakichapana si ndio vituko
NEW DELHI (AP) — India commissioned its first home-built aircraft carrier Friday as it seeks to counter regional rival China's much larger and growing fleet, and expand its own indigenous shipbuilding capabilities.
The INS Vikrant, whose name is a Sanskrit word for “powerful" or "courageous," is India's second operational aircraft carrier, joining the Soviet-era INS Vikramaditya that it purchased from Russia in 2004 to defend the Indian Ocean and Bay of Bengal.
The new 262-meter (860-foot) carrier, designed by the Indian navy and built at the Cochin shipyard in southern India, was launched by Prime Minister Narendra Modi as part of the country's commemoration of 75 years of independence from British
Unabisha tu ila India imetaka kuzuia simu za Kichina za bei chini ya $150 ili kuruhusu makampuni ya Kihindi yauze hizo. Kampuni za Kihindi kama Jio ile ya bilionea Ambani zitashika kasi baadae, kuna brands nyingi za China zinaunda simu ndani ya India ili kushika soko.Sio rahisi kama unavyodhani
Nadhani ni Dalian shipyard ambako nimeona picha kuna construction ya destroyers 5 kwa wakati mmoja inaendelea. Wakati shipyards nyingi duniani hutengeneza warship kubwa mojamoja kwa wakati mmoja ambao often huwa sio chini ya mwaka.PRC anaongeza utengenezaji wa submarine na aircraft carrier kwa ajili ya ulinzi wa bahari yake na mipaka yake na sio kutunishiana misuli na wakina Kanjibai.
Kilio Cha makampui ya india makampuni ya china yanapewa subsidy na Chinese governmentUnabisha tu ila India imetaka kuzuia simu za Kichina za bei chini ya $150 ili kuruhusu makampuni ya Kihindi yauze hizo. Kampuni za Kihindi kama Jio ile ya bilionea Ambani zitashika kasi baadae, kuna brands nyingi za China zinaunda simu ndani ya India ili kushika soko.
Mfano Xiaomi wana Redmi Note 10 na Pro yake hizo ni made in China ila wana Pro Max yake ni made in India. Tofauti zao ni main camera sensors ila vingine ni sawa.
India ina restrictions fulani za importation na sio kwenye simu tu, hili ni tatizo lao la kiuchumi kwamba uchumi wao bila kudekezwa products zao hazipambani kwenye free market.
Hata china walikuja ku-comfirm wanajeshi wao walikufa, Leo hii India imeipita u.k kwenye GDP sio watu wa kudharau hata kidogoHebu twende mbele kisha turudi nyuma any way twende mbele india hii ndio ipigane na mvimba macho? Acheni masiahara kiukweli mchina ana karoho fulani hivi ka ukatili ila ana tabia ya kukaficha kwenye tabasamu wakati wazee wa kachori katmandu na masala wanaendeshwa sana na hisia lakini physic ya askari wake wengi hata kwa kuwaangalia wamekaa kimovie movie sana nb angalia lile pigano la man to man combat la mpakani juzi kati walikufa kanjibai wengi sana kwa mkono tu
Na wakati huo India haiwezi kupiga marufuku bidhaa za China, labda kwenye teknolojia muhimu za kiusalama kama data. La sivyo wajiandae kuharibika kiuchumi, hawaipendi ila wanalazimika ndio maana kwenye mgogoro wa Ladakh mwaka 2019 waliweka vikwazo bidhaa chache sana.Kilio Cha makampui ya india makampuni ya china yanapewa subsidy na Chinese government
Ulichoongea ni kweli India haiwezi pambana na India sababu china wanatechnologia kubwa
India na China wana makubaliano ya kutotumia silaha mpakani Ladakh pale hivyo ilipotokea fujo wanajeshi wao walipigana ngumi, mawe, fimbo na vitu vya ncha kali. Ndio maana zaidi iliitwa brawl wala sio attack. Na kwa kawaida brawl hutegemea nani ana msuli zaidi, sio nani ana silaha kali kwani hazitumiki. Ule ugomvi walitoka suluhu acha utani kuna Wachina waling'oka meno na footage nyingine zilionekana baadae. Wote kwa pamoja wana propaganda kali si rahisi kujua nani alipigwa pale, official data zinapingwa na ushahidiHuyo mhindi wanajeshi wake walipigwa vibaya mpakani na PLA mpaka wengine wakawa mahututi ndio aje kutunushiana misuli na PLA , mchina sio kwamba hawezi kupigana ila yupo kwenye mpango wake wa 2025, 2050 na 2100 yeye anawaza uchumi hicho ndicho kitu kinacho mzuia kupigana kwa sasa ila huyo ROC hana huo ubavu wa kupigana na kaka yake PRC labda kama atakuwa amesahau makofi kaka yake aliyo mpiga 1949. Na huyo jirani Kanjibai akumbuke kwanza PLA ailicho wafanya wanajeshi wake mpakani na sio kusema ana huo uwezo wa kumkoromea PRC.
Kwa sasa China ana nguvu za kijeshi na kiuchumi kuliko hayo mataifa uliyoyataja.Haya ni mataifa ambayo China akitia kidole tu, atapigwa kama ngoma, na wote ni mahasimu wake.
1. India
2. Japan
3. Taiwan
Hizo namba mbili za mwanzo hazifai hata chembe.