cyrustheemperor
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 297
- 358
Kuwa na adabu mkuu @moderators nimemkosea Nini huyu Hadi nitukanwe hibiWewe ni fala na lofa wa mwisho maana yeye kashasema hawajui jina
Kuwa na adabu mkuu @moderators nimemkosea Nini huyu Hadi nitukanwe hibiWewe ni fala na lofa wa mwisho maana yeye kashasema hawajui jina
incubators isiyotumia Umeme itakuwaje sasa?,zipo zinazotumia gesi na solar power kwa pamoja,ila Umeme ni lazimaNinaomba mwenye ujuzi wa kutengeneza incubator Au kitotolesheo mayai cha asili anijuze Tafadhali,aje inbox tuyajenge
Tumuulize yeye kama nani?Muulieni Mshana Jr
Nashukuru kwa kunipa pa kuanzia!Huyo mtu anaitwa nani?ingia YouTube Kuna jamaa anatengeneza incubator za kienyeji zinazotumia taa ya chemli